Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam leo. Nape amezungumzia maswala kadhaa ikiwemo CCM kukanusha madai ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa aliyotoa juzi mjini Morogoro kwamba CCM imekuwa na utaratibu wa kuingiza silaha nchini kinyemela. (Picha na Bashir Nkoromo)
Home
Unlabelled
NAPE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Mnatuchosha na malumbano na mipasho yenu isiyo na tija. Wananchi tunataka huduma bora za jamii afya, elimu, maji, barabara, reli, usafiri dar, umeme nk. Achen kuwachanganya watanzania kwa kupiga domo
ReplyDeleteKwani mangapi yalishawahi kuripotiwa kwenye vyombo vya usalama na hakuna lolote lililofanyika? Hata mwana CCM mwenzenu, Waziri Mwakyembe alishawahi kutoa taarifa za kufuatwa na watu kadhaa lakini hakuna lolote lilofanyika.....CCM kimebaki chama cha KUJITETEA....Au Sera yenu ndio inasema hivyo?
ReplyDelete