Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam leo. Nape amezungumzia maswala kadhaa ikiwemo CCM kukanusha madai ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa aliyotoa juzi mjini Morogoro kwamba CCM imekuwa na utaratibu wa kuingiza silaha nchini kinyemela. (Picha na Bashir Nkoromo)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mnatuchosha na malumbano na mipasho yenu isiyo na tija. Wananchi tunataka huduma bora za jamii afya, elimu, maji, barabara, reli, usafiri dar, umeme nk. Achen kuwachanganya watanzania kwa kupiga domo

    ReplyDelete
  2. Kwani mangapi yalishawahi kuripotiwa kwenye vyombo vya usalama na hakuna lolote lililofanyika? Hata mwana CCM mwenzenu, Waziri Mwakyembe alishawahi kutoa taarifa za kufuatwa na watu kadhaa lakini hakuna lolote lilofanyika.....CCM kimebaki chama cha KUJITETEA....Au Sera yenu ndio inasema hivyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...