THIS 26TH YEAR OF TRACKING GLOBAL WEALTH WAS ONE TO REMEMBER, WITH AN ALL-TIME HIGH . THE 2012 FORBES BILLIONAIRES LIST BREAKS TWO RECORDS: TOTAL NUMBER OF LISTEES (1,226) AND COMBINED WEALTH ($4.6 TRILLION). THIS HORDE SURPASSES THE GROSS DOMESTIC PRODUCT OF GERMANY, ONE OF ONLY SIX NATIONS TO HAVE FEWER BILLIONAIRES THIS YEAR.

For THE  FULL LIST OF 40 RICHEST PEOPLE IN AFRICA CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Jamani Mengi na sabodo mbona hawamo kwenye listi ??? Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  2. Mengi? mseme Bakheresa! na mie Pedeshee wa nguvu

    ReplyDelete
  3. Watanzania hawawezi kuwemo kwa kuwa utajiri wao hauelezeki ulivyopatikana kwa hiyo hauwekwi wazi. Wengi wamepata utajiri kwa rushwa na ufisadi mwingine.

    ReplyDelete
  4. WAO WANA VJISENTI TU. WAZEE WA NGUVU NDIO HAO

    ReplyDelete
  5. Kwako Zebedayo,

    Uchumi wa bongo hauko rasmi kurahisisha kutambua utajiri wa watu (watu wengi wanausiri mwingi katika biashara zao ili kukwepa kodi na sheria zetu haziko imara kuzuia hili). Hata hivyo $250 Million alizonazo mtu wa 40 si pesa ndogo... inawezekana kabisa hakuna mbongo mwenye mbumba kufikia hapo.

    Ignorant

    ReplyDelete
  6. Kweni Mengi nani alikuambia ni billionier?

    ReplyDelete
  7. Huyo wa mwisho ana TZS yapata tilioni 0.4 au bilioni 400!!! Unafikiri hii ni hela kidogo?

    ReplyDelete
  8. SOMALIA:

    Jamani Masheikh wetu wa Ujambazi wa kuteka Meli Baharini pwani ya Somalia na kudai US$ Millions wapo wapi ktk listi?

    Nilistaajabu sana kuona wakipata fedha za ngawira kwa Ujambazi wa utekaji wa meli wanawekeza kwa ujenzi wa maghorofa Nairobi na Mombasa Kenya, huku Mamlaka za Kenya zikijisifu na kuwafagilia Wasomali kukuza Uchumi na maendeleo nchini mwao kwa kuwajengea majengo ya uwekezaji!!!

    Au ndio vile tena Utajiri wanaupata kwa njia ya kutoa wengine damu na 'manyau nyau'?

    ReplyDelete
  9. Kwisha kazi,

    Kuanzie leo Tanzania tusisumbuane kwa kutambiana kwa hela.

    Kumbe wengi tuna hela za kiasi cha mboga tu, angalieni ktk Listi hiyo ya Afrika tumo?

    ReplyDelete
  10. According to this list NIGERIA, SOUTH AFRICA AND EGYPT are the top countries with the richest.. followed by Morrocco and very discreetly is our neighbor Kenya and Zimbabwe

    ReplyDelete
  11. Bakharesa pesa zake zote ni $50 Milioni, Mengi ana $10milioni, Ukoo wa Nyerere $8 Milioni, Ukoo wa Karume $7milioni, Mkapa $5 Milioni, Mwinyi $3 Milioni, Salimin $2 milioni, Seif $1Milioni, waliobaki ni chini ya $1 milioni.

    ReplyDelete
  12. Iddi Simba aliwahi kusema kwenye kipindi cha Kitimoto kuwa Tanzania hakuna matajiri ila kuna watu wachache wenye vijisenti lakini wamezungukwa na masikini weengi sana kama vile yeye,lakini ni vizuri kupambana kufika waliko wenzetu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...