![]() |
THIS 26TH YEAR OF TRACKING GLOBAL WEALTH WAS ONE TO REMEMBER, WITH AN ALL-TIME HIGH . THE 2012 FORBES BILLIONAIRES LIST BREAKS TWO RECORDS: TOTAL NUMBER OF LISTEES (1,226) AND COMBINED WEALTH ($4.6 TRILLION). THIS HORDE SURPASSES THE GROSS DOMESTIC PRODUCT OF GERMANY, ONE OF ONLY SIX NATIONS TO HAVE FEWER BILLIONAIRES THIS YEAR. For THE FULL LIST OF 40 RICHEST PEOPLE IN AFRICA CLICK HERE |
Home
Unlabelled
forty Richest People In Africa 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Jamani Mengi na sabodo mbona hawamo kwenye listi ??? Zebedayo msema kweli
ReplyDeleteMengi? mseme Bakheresa! na mie Pedeshee wa nguvu
ReplyDeleteWatanzania hawawezi kuwemo kwa kuwa utajiri wao hauelezeki ulivyopatikana kwa hiyo hauwekwi wazi. Wengi wamepata utajiri kwa rushwa na ufisadi mwingine.
ReplyDeleteWAO WANA VJISENTI TU. WAZEE WA NGUVU NDIO HAO
ReplyDeleteKwako Zebedayo,
ReplyDeleteUchumi wa bongo hauko rasmi kurahisisha kutambua utajiri wa watu (watu wengi wanausiri mwingi katika biashara zao ili kukwepa kodi na sheria zetu haziko imara kuzuia hili). Hata hivyo $250 Million alizonazo mtu wa 40 si pesa ndogo... inawezekana kabisa hakuna mbongo mwenye mbumba kufikia hapo.
Ignorant
Kweni Mengi nani alikuambia ni billionier?
ReplyDeleteHuyo wa mwisho ana TZS yapata tilioni 0.4 au bilioni 400!!! Unafikiri hii ni hela kidogo?
ReplyDeleteSOMALIA:
ReplyDeleteJamani Masheikh wetu wa Ujambazi wa kuteka Meli Baharini pwani ya Somalia na kudai US$ Millions wapo wapi ktk listi?
Nilistaajabu sana kuona wakipata fedha za ngawira kwa Ujambazi wa utekaji wa meli wanawekeza kwa ujenzi wa maghorofa Nairobi na Mombasa Kenya, huku Mamlaka za Kenya zikijisifu na kuwafagilia Wasomali kukuza Uchumi na maendeleo nchini mwao kwa kuwajengea majengo ya uwekezaji!!!
Au ndio vile tena Utajiri wanaupata kwa njia ya kutoa wengine damu na 'manyau nyau'?
Kwisha kazi,
ReplyDeleteKuanzie leo Tanzania tusisumbuane kwa kutambiana kwa hela.
Kumbe wengi tuna hela za kiasi cha mboga tu, angalieni ktk Listi hiyo ya Afrika tumo?
According to this list NIGERIA, SOUTH AFRICA AND EGYPT are the top countries with the richest.. followed by Morrocco and very discreetly is our neighbor Kenya and Zimbabwe
ReplyDeleteBakharesa pesa zake zote ni $50 Milioni, Mengi ana $10milioni, Ukoo wa Nyerere $8 Milioni, Ukoo wa Karume $7milioni, Mkapa $5 Milioni, Mwinyi $3 Milioni, Salimin $2 milioni, Seif $1Milioni, waliobaki ni chini ya $1 milioni.
ReplyDeleteIddi Simba aliwahi kusema kwenye kipindi cha Kitimoto kuwa Tanzania hakuna matajiri ila kuna watu wachache wenye vijisenti lakini wamezungukwa na masikini weengi sana kama vile yeye,lakini ni vizuri kupambana kufika waliko wenzetu!
ReplyDelete