Sheikh Saleh Juma akikumbushia suala la Zakatul Fitr kabla ya sala kuanza

Sheikh Abdalla Sane aijiandaa kwenda kusalisha sala ya Eid iliofanyika katika ukumbi wa Taylor Road School

Imam akisisitiza juu ya safu kuwa sawa kabla ya sala

Hatimae sala ikasliwa kwa salama na amani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hivi huko leicester hakuna wanawake? manake kila sikukuu ya idd nyie huwa mnatuma picha za wanaume tuu na hata mwaka jana mlituma picha zenu wenyewe na wadau kadhaa humu ndani waliuliza kulikoni mbona ni wanaume tuuuuuuu! kwani wanawake huko hawasali? na imani wanasali sasa kwa nini mnaleta picha zenu wanaume tu?! mbona DC hawapo kama nyie, idd mubarak wanawake wote wa leicester!

    ReplyDelete
  2. Na wako Leicester! Idd Mubarak wanawake wa Leicester na poleni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...