Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia na kombe lao baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa mabao 4-3 katika mchezo wa fainali ya michuano ya SUP8R uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mh. Dk Fenella Mkangala akiwapa medali wachezaji wa Simba.
Wachezaji wa Simba wakimbeba kocha wao Suleiman Matola baada ya mchezo
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akiwapungia mkono mashabiki wa Simba.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mh. Dk Fenella Mkangala akimkabidhi kombe nahodha wa Simba, Edward Christopher
Furaha ya ushindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. asanteni sana jamani simba ni simba tu.....

    ReplyDelete
  2. Hongereni watani Simba kwa kunyakua kombe la Mbuzi.
    Mdau
    Jangwani

    ReplyDelete
  3. Maneno ya mkosaji!
    Ukweli lazima tuseme mimi ni shabiki wa YANGA lakini huwa hainingii akilini tunapokataa kushiriki michezo mbali mabli kwa kutoa visingizio kibao Ooh mara muda hautoshi, sijui tunajiandaa na mashindano wachezaji wataumia Ooh mara sijui nini?

    Kwa kweli huwa sielewi kwani kushiriki mashindano mbali mbali naamini ndiko kunakowapa wachezaji mazoezi na kujipa uzoefu.

    Kwa uelewa wangu mdogo nadhani hii haijakaa sawa inabidi tujiangalie.

    Au wadau mnasemaje? naomba kuelimishwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...