Mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali Miss East Africa Belgium yatakayofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana Pierre.
Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza kitufe cha “like” kwa anuani hii: https://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.
Duhhh Ankal mara zote unajeruhi hisia zetu humu Jamvini,
ReplyDeleteMtoto mtamu sana, yupo so natural.!!!!
Receive hundreds lot of kisses from me you Juliana Pierre there in Belgium.
I vote you for win!
Love you babe Miss Tanzania EA Juliana Pierre!!!!
ReplyDeleteKissessss wawawawaaaaa!!!!
You are so sweet!!!
Binti Merembo wa MAJUU:
ReplyDeleteWajameni mimi Mdau nimekuwa nikimuunga mkono Mdau mwenzangu maarufu zaidi humu jamvini Zebedayo Msema ukweli juu ya wazo la kupinga maisha ya Majuu na kuwahimiza Madiaspora warudi nyumbani Tanzania.
Lakini kwa utamu wa Binti huyu Juliana Pierre itanibidi nifanye ziara fupi huko Belgium angalau nikamjuilie hali Bibie!!!
Sio kwenda kukaa moja kwa moja na kubeba maboksi!
Zebedayo Msema Ukweli utanisamehe kidogo hapa nitalazimika kuchomoka kidogo ila nitarudi!!!
Kwa mtaji na mshiko wa mtoto huyu huko Majuu Juliana Pierre ingawa mimi ni mpinzani mkubwa wa maisha ya huko Majuu na Madiaspora nitalazimika kukubaliana nayo na kuwa Diaspora hata kwa muda angalau niweze kumfikia Mtoto huko majuu Belgium!
ReplyDelete