Mwakilishi wa Tanzania kwenye fainali Miss East Africa Belgium yatakayofanyika tarehe 1 September 2012, Miss Juliana Pierre.

 Muunge mkono mwakilishi wetu huyu kwenye Fainali husika kwa kuongeza  idadi ya kufahamika kwake.
Juliana anaomba uingie kwenye ukurasa wake wa (Face book) na kubonyeza kitufe cha “like” kwa anuani hii: https://www.facebook.com/JulianaPierreFinalisteMissEastAfricaBelgium2012
Tangaza Vipaji Vyetu,Tangaza Utalii Wetu, Tangaza Tanzania.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duhhh Ankal mara zote unajeruhi hisia zetu humu Jamvini,

    Mtoto mtamu sana, yupo so natural.!!!!

    Receive hundreds lot of kisses from me you Juliana Pierre there in Belgium.

    I vote you for win!

    ReplyDelete
  2. Love you babe Miss Tanzania EA Juliana Pierre!!!!

    Kissessss wawawawaaaaa!!!!

    You are so sweet!!!

    ReplyDelete
  3. Binti Merembo wa MAJUU:

    Wajameni mimi Mdau nimekuwa nikimuunga mkono Mdau mwenzangu maarufu zaidi humu jamvini Zebedayo Msema ukweli juu ya wazo la kupinga maisha ya Majuu na kuwahimiza Madiaspora warudi nyumbani Tanzania.

    Lakini kwa utamu wa Binti huyu Juliana Pierre itanibidi nifanye ziara fupi huko Belgium angalau nikamjuilie hali Bibie!!!

    Sio kwenda kukaa moja kwa moja na kubeba maboksi!

    Zebedayo Msema Ukweli utanisamehe kidogo hapa nitalazimika kuchomoka kidogo ila nitarudi!!!

    ReplyDelete
  4. Kwa mtaji na mshiko wa mtoto huyu huko Majuu Juliana Pierre ingawa mimi ni mpinzani mkubwa wa maisha ya huko Majuu na Madiaspora nitalazimika kukubaliana nayo na kuwa Diaspora hata kwa muda angalau niweze kumfikia Mtoto huko majuu Belgium!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...