Ukiwa na bahati kukuta hamna mawingu unapopita maeneo ya Himo unaweza kuviona vilele vya Kibo na Mawenzi vya mlima Kilimanjaro bila shida

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ma'ansha'Allah Mwenyezi Mungu katuja'alia Tanzania,tuna kivutio cha nguvu Duniani!
    Vilele hivyo vinavutia sana hata kuvitizama tu katika picha.
    Huwezi amini mawingu yako chini ya vilele.
    Mwenyezi Mungu Ija'alie Tanzania na watu wake!
    Miss Ahlam...London

    ReplyDelete
  2. Kweli inavutia kuona tulivyojaliwa, ila kinachosikitisha ni kwamba wakazi wa sehemu uliyopiga picha wanasubiri serekali ije ifukie maji yaliyojikusanya mbele ya nyumbba yao. Jamani kweli hatuwezi kujituma wenyewe?? Inasikitisha sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...