AJALI
nyingi za barabarani nchini husababishwa na madereva wazembe wasio zingatia
sheria za matumizi sahihi ya barabara. Miongoni mwa ajali hizo nyingi
husababishwa na madereva hao kuovatake magari mengine katika kona au milima kama
basi hili linavyofanya katika kona ya Lugalo mkoani Iringa. Madereva “PAMBANA
NA AJALI ZA BARABARANI KWA VITENDO, ZINGATIA SHERIA”.
Basi
hili linguine nalo lilikuwa linafanya makopsa hay ohayo ya kulipita gari linguine
katika miinuka na kona kali za mlima Kitonga.

Polisi
wa Kikosi cha Usalama barabarani
mkoa wa Iringa, akiwepo RTO, SP. Pamphil Honono (kushoto) walimuona na
kumsimamisha dereva wa basi hilo. Matukio haya yanatokea ndani ya wiki
ya Nenda kwa Usalama Kitaifa.

Nahapa Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani akimwandikia Notfication dereva huyo.
Nafikiri kwa hili mmeingilia privacy ya huyu dreva, kuweka leseni yake na taarifa zake hadharani hivi sio sawa. Au wazee nyie hamjui mambo ya identity thefy?
ReplyDeleteHongera sana, ulie tutumia kisa hiki, Madereva kuweni makini, si huko njia za mikoani hata humu humu ndani ya miji, wengi wamekuwa na haraka zisizo na sababu, hawajui kuwa kuto kusubiri kwa dakika moja tu kunaweza kuleta madhara makubwa kwa dereva na raia wengine na mali zao. Mdau Sixmund
ReplyDeletenampa hongera mtoa taarifa. ila napenda kusema kuwa mimi niliwahi kumpatia taarifa traffic katika njia ya dar segera- na swala hilo nililiandika hapa. chakusikitisha hatukuona mwitikio wowote wa viongozi traffic. nasikitaka kusema sio muda mrefu basi hilo lilileta ajali. swala sio kuwapa noticefication.. hiyo ni kitu kidogo. nafikiri kwa ushahidi kama huu dereva angefungiwa na pia kuondolewa katika passenger's driver. pili pia ingekuwa yanatolewa matangazo hayo ikaonekana kuwa hatua zinachukuliwa. wenzetu ndio wamefikia hayo kwa kuwa strict.
ReplyDeletemdau