I think I want whatever he's been smoking...


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sio bure atakuwa ni mgonjwa huyu!

    ReplyDelete
  2. Hili litakuwa Bange la Tabora tena wakalichanganya na samadi ya ng'ombe! lina uchizi hilo we acha tu wajameni

    ReplyDelete
  3. I feel high even to touch the sky!
    welcome to JAH creation.

    huyo kapiga kitu cha kimalawi.

    ReplyDelete
  4. Hii ni sawa na viongozi wetu wa serikali walivyo. watu eeehehhehehehh kali sana.labda amvuta Kush........

    ReplyDelete
  5. ZEBEDAYO VIPI TENA? MAWAZO YAMEKUJAA HIVYO?

    ReplyDelete
  6. Kama bange haramu mbona mbuzi anakula majani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...