Wanenguaji wa bendi ya Manchester walivyokamua.
WAPENZI wa burudani waliobahatika kuingia Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala jana Jumapili walinogeshwa na vionjo vipya vya bendi za Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Bendi ya Manchester na magwiji wa mipasho, ToT Taarab.
Burudani uwanjani hapo zilianza mapema kwa michezo mbalimbali ya watoto inayojumuisha vifaa mbalimbali ambavyo huvitumiwa bila malipo.
’Vifaa’ vya Extra Bongo vikiwa kazini kwenye onesho hilo.
Mwanamuziki wa Extra Bongo, Ramadhan Mhoza ‘Pentagon’ akikamua.
ToT wakiwa kazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...