Katibu Mkuu Wizara ya fedha, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Ramadhan  Khijah akizungumza wakati wa uzinduzi wa bodi mpya wa wakurugenzi ya Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF) uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Akiba ya wafanyakazi GEP, Daud Msangi na Mwenyekiti mpya wa bodi ya GEPF, Joyce Shahidi.
 Mkurugenzi Mkuu wa GEPF, Daud Msangi akizungumza wakati wa uzinduzi wa bodi mpya wa wakurugenzi ya Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF) uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
 Mwenyekiti wa bodi iliyomaliza muda wake ya Mfuko wa wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF), iliyomaliza muda wake, Monica Mwamunyange akizungumza katika hafla hiyo.
 Meneja Masoko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Ramadhan  Khijah akimkabidhi zawadi,Mwenyekiti wa bodi iliyomaliza muda wake ya Mfuko wa wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF), iliyomaliza muda wake, Monica Mwamunyange kutokana na mafanikio yaliyopatikana kwa kipindi cha uongozi wake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Were they always late for meetings and decision making or what?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...