Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja Kiongozi wa Ngoma Africa band almaarufu "FFU ughaibuni", Alizaliwa siku kama ya leo 19.September, jijini Dar-es-salaam, Wazazi wake Bi.Moza Hassan(Mama) na Marehem baba yake Mzee  Jumanne Saleh Makunja (RIP)

Globu ya Jamii inamtakia maisha marefu zaidi kamanda huyu nguli wa kuendeleza Libeneke kwa supu ya mawe na msemo wa Bongo Tambarare....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hilo bodaboda liache hukohuko, RAS, Bongo hilo ni chinjachinja!

    ReplyDelete
  2. kikamanda ketu ! Happy Birthday mkuu wa ffu,tunajua leo ni supu ya mijiwe kwa wingi tu

    ReplyDelete
  3. kamanda mkuu ras makunja tunakutakia afya njema,maisha marefu ,hongera sana kwa kutimiza miaka 18

    ReplyDelete
  4. Kamanda mkuu wa ffu,mungu akuzidishie maisha marefu na afya njema uweze kupigisha gwaride la supu ya mawe na bongo tambarare kila siku

    ReplyDelete
  5. Hi! kamanda ras makunja tunakuombea maisha marefu na afya bora,mungu akuzidishie nguvu katika kuongoza kikosi kazi ffu, pia uzidishe kazi katika kurusha virungu na makombora ya machozi Happy Birthday 2U
    Wadau wa machimboni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...