Mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja Kiongozi wa Ngoma Africa band almaarufu "FFU ughaibuni", Alizaliwa siku kama ya leo 19.September, jijini Dar-es-salaam, Wazazi wake Bi.Moza Hassan(Mama) na Marehem baba yake Mzee Jumanne Saleh Makunja (RIP)
Globu ya Jamii inamtakia maisha marefu zaidi kamanda huyu nguli wa kuendeleza Libeneke kwa supu ya mawe na msemo wa Bongo Tambarare....


Hilo bodaboda liache hukohuko, RAS, Bongo hilo ni chinjachinja!
ReplyDeletekikamanda ketu ! Happy Birthday mkuu wa ffu,tunajua leo ni supu ya mijiwe kwa wingi tu
ReplyDeletekamanda mkuu ras makunja tunakutakia afya njema,maisha marefu ,hongera sana kwa kutimiza miaka 18
ReplyDeleteKamanda mkuu wa ffu,mungu akuzidishie maisha marefu na afya njema uweze kupigisha gwaride la supu ya mawe na bongo tambarare kila siku
ReplyDeleteHi! kamanda ras makunja tunakuombea maisha marefu na afya bora,mungu akuzidishie nguvu katika kuongoza kikosi kazi ffu, pia uzidishe kazi katika kurusha virungu na makombora ya machozi Happy Birthday 2U
ReplyDeleteWadau wa machimboni