Heshima yako Ankal
 Asante nimeona umeweka comment yangu kuhusu upigaji kura.Kuna tatizo bado kwenye upigaji kura,kama unaweza wasiliana na wizara,waandae maajabu  kama 10 hivi yaliyoko Tanzania wavipublish.Itasaidia sana kwa wapiga kura-wapelekee hii email.Walishatngaza lakini nadhani maelezo zaidi yanahitajika katika kupiga kura,angalia eti na Mlima Kenya unakuja kwa kasi..Wenzetu wanapiga kura.
 
Kwanini?:Kwa sababu upigaji wa kura ni mgumu kidogo,wanakulazimisha utaje vivutio Saba(7) vilivyoko Tanzania-Siyo  kwamba unafika na kutick Kilimanjaro,Serengeti,ngorongoro.Halafu ukishavitaja unavituma kwa email kwa mtiririko wa Umaarufu wake,  hapo kura yako itahesabika
 
Ugumu:Siyo wengi wanayafahamu maajabu haya,hata mimi nilipata taabu kidogo kutafuta maajabu ya Tanzania tofauti na hiyo Kilimanjaro,Migration na Ngorongoro Crater!.Kuna Mbeya meteorite(Kimondo),Manyara hotsprings,Kabila la waHadzabe nilitaja(sina uhakika kama ni maajabu),Simba wanaopanda miti kule mbuga za Wanyama.
 
Mungu ibariki Tanzania
 
David V

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...