Askari wa Jiji (Mgambo) akifunga moja ya gari iliyokuwa imeegeshwa katika sehemu isiyoruhusiwa mchana wa leo kama akivyonashwa na kamera man wa Globu ya Jamii.Sasa sijui hiki kibao hakukiona??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ndio ajali zinaongezeka kila kikucha. hata alama za barabarani madereva hawazijui.

    Funga tu alipe faini. Ila usishangae akifika hapo anampigia simu kigogo wa ccm, serikali, polisi etc anaachiwa huru huku mgambo akiwekwa rumande kwa kufunga gari la kigogo na minyororo.

    Yote haya yanawezekana ndani ya Bongo

    ReplyDelete
  2. piga pingu ndiyo, safi kabisa nimeipenda hiyo maana hawa ndo wanaosababisha ajali na ndugu zetu sisi wanakufa kwasababu yake.

    ReplyDelete
  3. huyu ni mvunja sheria kama wengine wanaovunja sheria halafu polisi wabaya. Watoto wa siku hizi hawajui na hawataki kufuata sheria, si tumewazaa wenyewe tunawajua. Hata sheria za nyumbani hawasikilizi. Mtaendelea kuwalaumu polisi kila siku, bila ya sababu ila wao wako kazini. Ukzuia bunduki ya polisi wakati yuko kazini unategemea nini.

    ReplyDelete
  4. Baloteli wa Bongo huyo, anazo pesa za kulipa faini msipige kelele bure.

    ReplyDelete
  5. Hizo ndio zetu watz tunadharau za kijinga na hii ni ufisadi wa maadili. Tujifunze kuheshimu sheria kama wenzetu. Hakika tu watu wa ajabu sana . kama mbolea ya kukuvile!! Nimeudhika sana! Halafu ingekuwa kwa Bw Hugo Chavez hako kagari kangetiwa kwenye gari ya taka - Angekakuta dampo ya takangumu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...