Home
Unlabelled
Huyu nae Amejitakia.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndio ajali zinaongezeka kila kikucha. hata alama za barabarani madereva hawazijui.
ReplyDeleteFunga tu alipe faini. Ila usishangae akifika hapo anampigia simu kigogo wa ccm, serikali, polisi etc anaachiwa huru huku mgambo akiwekwa rumande kwa kufunga gari la kigogo na minyororo.
Yote haya yanawezekana ndani ya Bongo
piga pingu ndiyo, safi kabisa nimeipenda hiyo maana hawa ndo wanaosababisha ajali na ndugu zetu sisi wanakufa kwasababu yake.
ReplyDeletehuyu ni mvunja sheria kama wengine wanaovunja sheria halafu polisi wabaya. Watoto wa siku hizi hawajui na hawataki kufuata sheria, si tumewazaa wenyewe tunawajua. Hata sheria za nyumbani hawasikilizi. Mtaendelea kuwalaumu polisi kila siku, bila ya sababu ila wao wako kazini. Ukzuia bunduki ya polisi wakati yuko kazini unategemea nini.
ReplyDeleteBaloteli wa Bongo huyo, anazo pesa za kulipa faini msipige kelele bure.
ReplyDeleteHizo ndio zetu watz tunadharau za kijinga na hii ni ufisadi wa maadili. Tujifunze kuheshimu sheria kama wenzetu. Hakika tu watu wa ajabu sana . kama mbolea ya kukuvile!! Nimeudhika sana! Halafu ingekuwa kwa Bw Hugo Chavez hako kagari kangetiwa kwenye gari ya taka - Angekakuta dampo ya takangumu!!
ReplyDelete