Rais Jakaya Mrisho Kikwete atembelea Kimara, Dar es salaam, kujionea maendeleo ya ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka unaondelea kwa kasi jijini humo, ikiwa ni mojawapo ya juhudi za kupunguza msongamano mkubwa wa magari
Home
Unlabelled
JK akagua ujenzi wa barabara kwa mabasi yaendayo kwa haraka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


JAMANI ONDOENI VIBAJAJI VINAVYOINGIA MJINI KABLA HAWAJAJIONA NI HAKI YAO KUINGIA MJINI.
ReplyDeleteVIBAJAJI VINASABABISHA FOLENI ISIYOKUWA NA MSINGI KATIKA BARABARA YA ALI HASSAN MWINYI NA HASA KATIKA KIPINDI CHA ASUBUHI NA JIONI.
Hii itakuwa barabara ya mabasi pekee, au ni ya mabasi yaendayo kasi?
ReplyDeleteKuna mdau mwenye fununu yoyote kuhusu utumikaji wa barabara hii?
Duku duku langu liko kwenye nani watakuwa wamiliki wa mabasi hayo, kasi ya hii kasi, usalama wa wavukaji barabara, na umbali kati ya vituo.
Hivi ni mtaalamu gani aliyeona kujenga barabara hii ndiyo tatizo la kuondoa msongamano Jiji la Dar es Salaam? Nchi hii wataalamu waliopo pumba kabisa, badala ya kushauri serikali imwage fedha kujenga barabara za juu 'Flyover' ambazo zitakuwa suluhisho, mbona Kenya wameweza sisi serikali yetu hii ina tatizo gani?
ReplyDelete