Fundi sanifu wa Sauti wa Kikundi cha sanaa
kutoka Nchini China
akiweka mambo sawa kabla ya onesho maalum litakalo fanyika saa moja leo usiku.
Juu na chini ni
baadhi ya Wasanii kutoka Nchini China
wakifanya mazoezi asubuhi hii katika ukumbi
wa kimataifa wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam tayari kwa onesho maalum litakalo
fanyika Usiku huu na hapo kesho katika ukumbi
Na
Sixmund J. Begashe wa Makumbusho ya Taifa






sawa tumeona
ReplyDeletewanakuja ishirini wanarudi kwao wawili.