Rais Jakaya Mrisho Kikwete atembelea Kimara, Dar es salaam, kujionea maendeleo ya ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka unaondelea kwa kasi jijini humo, ikiwa ni mojawapo ya juhudi za kupunguza msongamano mkubwa wa magari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. JAMANI ONDOENI VIBAJAJI VINAVYOINGIA MJINI KABLA HAWAJAJIONA NI HAKI YAO KUINGIA MJINI.

    VIBAJAJI VINASABABISHA FOLENI ISIYOKUWA NA MSINGI KATIKA BARABARA YA ALI HASSAN MWINYI NA HASA KATIKA KIPINDI CHA ASUBUHI NA JIONI.

    ReplyDelete
  2. Hii itakuwa barabara ya mabasi pekee, au ni ya mabasi yaendayo kasi?

    Kuna mdau mwenye fununu yoyote kuhusu utumikaji wa barabara hii?

    Duku duku langu liko kwenye nani watakuwa wamiliki wa mabasi hayo, kasi ya hii kasi, usalama wa wavukaji barabara, na umbali kati ya vituo.

    ReplyDelete
  3. Hivi ni mtaalamu gani aliyeona kujenga barabara hii ndiyo tatizo la kuondoa msongamano Jiji la Dar es Salaam? Nchi hii wataalamu waliopo pumba kabisa, badala ya kushauri serikali imwage fedha kujenga barabara za juu 'Flyover' ambazo zitakuwa suluhisho, mbona Kenya wameweza sisi serikali yetu hii ina tatizo gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...