Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Rished Bade (pichani), kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Taarifa iliyotolewa Jumatano, Septemba 19, 2012 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue, kupitia Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais - Ikulu, imesema kuwa uteuzi huo umeanza Jumatatu wiki hii, Septemba 17, 2012.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Bade alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Mortgage Finance Co. Ltd.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
19 Septemba, 2012



Wandugu, hii ni nafasi ya juu sana katika ajira nchini na iko katika sehemu very sensitive. Inahitaji mtu mwenye weledi wa hali ya juu, naamini huyu ndugu ni wa kiwango hicho. Hata hivyo, ningeomba kama kuna mtu mwenye CV yake basi aturushie ili tujiridhishe na uteuzi wa Mheshimiwa Raisi wetu
ReplyDeletehttp://www.tmrc.co.tz/index-1.html
ReplyDeleteMr. Rished Bade, Chief Executive Officer
Rished started his career in banking in 1995 with Bank of Tanzania as Bank Examiner where he worked for five years. He then joined Akiba Commercial Bank (ACB) in June 2000 as a Credit Manager. A year later, he joined the Barclays Bank as Director of Finance at Barclays Bank Tanzania, a position he held for five years before moving to Barclays Bank Uganda. At Barclays Bank Uganda, Rished was the Chief Operating Officer for 2 years before he was appointed Country Managing Director for Barclays Bank Tanzania in January 2007. In December 2009 he was appointed Group Chief Finance Officer for Barclays East and West Africa Cluster stationed in Nairobi Kenya, the position he held until he joined Tanzania Mortgage Refinance Company in November 2010.
Mdau wa kwanza sep20 01.20.00pm umeshapata jibu la wasifu wake, unalo jingine ? naona ulikaa kiumbea umbea na ubaguzi baada ya kuona jamaa amekaa kisomali. angekua Rweyemamu, Mrema , Mwakitosi,Mpangala au Mkwabi usingetaka kujua wasifu wake. acha dhana potofu ya kumjudge mtu kabla ya kujua uwajibikaji wake kikazi.
ReplyDeletemdau Achimwene wa mahuta shimoni Mtwara.
Mbili na mbili ni ngapi?
ReplyDeleteSisi tuliyoogopa umande sasa hivi tunamezea tu position hizo.
Hongera sana Bwana Bade, tafadhali tupunguzie kodi sisi walalahoi wa Serikali, uwaongezee hao wafanya biashara wanaokwepa.
He has B.Com from UDSM which he completed in 1995 and M.Com from Sydney, Australia pursued between 1998 and 1999, both of them in finances. The problem is, TRA deals with taxes and implementation of fiscal policies, thus, he will have to learn at work while occupying a very high position. Didn't we have somebody else? Mind you, the current TRA CG is due to retire, and probably Bade is set to become the top boss. What could be the reason for his rapid ascendence or call it - surprise appointment into government job - because he does not come from a huge organization, to be frank? Could his religious beliefs have played a role in the JK strategic moves?
ReplyDeleteThanks,
Observer.
Huyo mdini hapo juu aende shule. Kodi hupunguzwa na serikali kuu siyo TRA.
ReplyDeleteKwanza nikianza na uraia najua kuna wengi wakimuangalia wanamdhania ni msomali kitu ambacho siyo kabisa kwanza marehemu baba yake mungu amuweke mahali pema mzee Bade mwenyewe alikuwa ni Mmang'ati na mama yake ni mchanganyiko wa mmasai na mbulu na unajua wamang'ati na wambulu walivyo ni kama wasomali au waethiopia kwa hiyo bwana Rished ni mtanzania halisi kabisa na tuache dhana za kumfikiria mtu sivyo.
ReplyDeletePili uzuri wa huyu bwana ni mpole na siyo muongeaji kabisa na ndiyo maana hata watu wengi wamekuwa hawamjui hii inanikumbusha Rais mstaafu Mkapa alipomchagua Dk Shein wengi walikuwa hawamjui sasa ndio kama hii Bwana Rished hautamsikia akiongea sana na wala hutamuona kwenye press sana labda sasaivi kwa sababu ya position aliyopo ila ni mchapakazi hodari kwa watu wasiomjua kama mdau alivyoelezea CV yake hapo hicho ni kichwa shukran sana JK umefanya uteuzi mzuri kwa kumpata mtu bright, mwenye exposure, mzoefu wa kazi tena nyanja za juu na msomi.
Tatu bwana Rished nina uhakika utaliendeleza gurudumu vizuri katika mamlaka na cheo ulicho nacho na kufanya kazi kwa uadilifu na hodari mkubwa kama ulivyokuwa awali mkimya kwa baadhi ya wanaokujua huwa ni mkimya basi na kuchukulia critism kama motivation kwako basi na huko TRA naomba uwe hivyo hivyo ujaribu kuangalia sheria za kodi kama kuna uwezekano wa kuzibadilisha kuwasaidia walalahoi kwa kusaidiana na serikali kuu na wizara ya fedha, pia uweze kuishauri serikali kuhusu kodi na mambo mengine ambayo yataongezea pato la taifa katika kodi hasa sekta ya madini,utalii,miondombinu na n.k.
Mwisho nakutakia kila la heri na mwenyezi mungu akuongoze katika kila jambo ufanyalo na ukufanyie wepesi kwa magumu uweze kukabiliana nayo na akuepushe na shari. 1 lv bro Rished
ReplyDeleteHeheh
Achimwene wa mahuta umenifurahisha SANA.
Wewe 'Observer'
This guy is a GENIOUS. Toka while ni aw kwanza tuuuu mpaka chuo mpaka kote huko!
Surely, he will adjust VERY FAST!!!
Asante JK
ReplyDeleteWee mdau wa kwanza
Angekuwa Mushi ungeomba CV?