Kaimu Mkuu wa idara ya Huduma za Kibenki wa benki kwa kufuata kanuni na masharti ya kiislamu ya NBC Bw. Yassir Masoud (wa pili kulia) akimkabidhi tiketi mshindi wa promosheni ya ‘Jishinde safari
ya watu wawili kwenda Hija’ Bw. Ally Omari Mbaraka Dar es Salaam.
Benki hiyo imetoa tiketi mbili za washindi hao na wenza wao pamoja na kugharamia malazi watakapokuwa Makka zenye thamani ya shilingi milioni 287. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Mauzo wa benki hiyo, William Kallaghe, Mshindi mwingine Hassan H. Mwanga (katikati) na Sheikh Mussa Kundecha.


serioulsy???
ReplyDeletemilioni 287?