Home
Unlabelled
KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGORO ASHA KIPANGULA AFARIKI DUNIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
InnaLlaha- WainaIllaihi rajiuna.
ReplyDeleteMungu ampe dada yetu mahali pema.
Sisi Watanzania wa Northampton tunapenda kutoka rambimbi zetu kwa ndugu na jamaa wote walio fikwa na msiba huu. Mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu
Wana CCM UK wanaungana na watanzania wote kutoa salaam za rambi rambi kwa wana familia, CCM Makao Makuu, wanaCCM Morogoro kwa msiba huu mzito wa Kamanda Mama Asha Kipangula.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu amempenda zaidi na tunaiombea familia amani wakati huu wa majonzi.
Maina Owino
kny. CCM UK