Fundi sanifu wa Sauti wa Kikundi cha sanaa kutoka Nchini China akiweka mambo sawa kabla ya onesho maalum litakalo fanyika saa moja leo usiku.
 Juu na chini ni baadhi ya Wasanii kutoka Nchini China wakifanya mazoezi asubuhi hii katika ukumbi  wa kimataifa wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam tayari kwa onesho maalum litakalo fanyika Usiku huu na hapo kesho katika ukumbi
 



Na Sixmund J. Begashe wa Makumbusho ya Taifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. sawa tumeona

    wanakuja ishirini wanarudi kwao wawili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...