Kaimu Mkuu wa idara ya Huduma za Kibenki wa benki kwa kufuata kanuni na masharti ya kiislamu ya NBC Bw. Yassir Masoud (wa pili kulia) akimkabidhi  tiketi mshindi wa promosheni ya ‘Jishinde safari
ya watu wawili kwenda Hija’ Bw. Ally Omari Mbaraka Dar es Salaam. 



Benki hiyo imetoa tiketi mbili za washindi hao na wenza wao pamoja na kugharamia malazi watakapokuwa Makka zenye thamani ya shilingi milioni 287. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Mauzo wa benki hiyo, William Kallaghe, Mshindi mwingine Hassan H. Mwanga (katikati) na Sheikh Mussa Kundecha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...