Dada Salma Adam akitambulisha baadi ya ndugu,jamaa na Marafiki wakati wa hafla yake ya kumuaga (Send Off) iliyofanyika katika ukumbi wa Rehema,Jijini Mbeya hivi karibuni.
Salma Adam akiwa na Matron wake wakati wa Send Off hilo iliyofana sana katika Ukumbi wa Rehema,uliopo eneo la Mbalizi Road,Jijini Mbeya hivi karibuni.
Matron wa Bi. Harusi mtarajiwa,Salma Adam akikata keki.
Shampein ikimiminwa kwenye grass.
Cheazzzzzzz.......
Bwana Harausi akitambulishwa ukumbini mbele ya wakwe zake.








Siku hizi dada zetu toka dini ninayoamini ina maadili ya uvaaji naye kaanika mabega nje??? Kazi kweli kweli!! Mungu tunusuru na janga hili la mpromoko wa maadili
ReplyDeleteSALMA UMEPENDEZA NA COLOUR HIYO NI SWAAAFI. KILA LA HERI BIBIE
ReplyDeletemdau wa kwanza umenifilisi maneno yangu.umenikata makali.ilisemwa tutaiga kila kitu,hata kama kuzama shimoni,tutafata tu
ReplyDeletewhat is wronh with mabega?
ReplyDeleteukumbi wa Rehema upo makutano ya Mahakama Avenue na Tanzam Highway, sio Mbalizi Road
ReplyDelete-Embe Kidusu
Show what yo mama gave you girl!!!!! Looking good!
ReplyDelete