Dada Salma Adam akitambulisha baadi ya ndugu,jamaa na Marafiki wakati wa hafla yake ya kumuaga (Send Off) iliyofanyika katika ukumbi wa Rehema,Jijini Mbeya hivi karibuni.
 Salma Adam akiwa na Matron wake wakati wa Send Off hilo iliyofana sana katika Ukumbi wa Rehema,uliopo eneo la Mbalizi Road,Jijini Mbeya hivi karibuni.
 Matron wa Bi. Harusi mtarajiwa,Salma Adam akikata keki.
 Shampein ikimiminwa kwenye grass.
 Cheazzzzzzz.......
 Bwana Harausi akitambulishwa ukumbini mbele ya wakwe zake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Siku hizi dada zetu toka dini ninayoamini ina maadili ya uvaaji naye kaanika mabega nje??? Kazi kweli kweli!! Mungu tunusuru na janga hili la mpromoko wa maadili

    ReplyDelete
  2. SALMA UMEPENDEZA NA COLOUR HIYO NI SWAAAFI. KILA LA HERI BIBIE

    ReplyDelete
  3. mdau wa kwanza umenifilisi maneno yangu.umenikata makali.ilisemwa tutaiga kila kitu,hata kama kuzama shimoni,tutafata tu

    ReplyDelete
  4. what is wronh with mabega?

    ReplyDelete
  5. ukumbi wa Rehema upo makutano ya Mahakama Avenue na Tanzam Highway, sio Mbalizi Road
    -Embe Kidusu

    ReplyDelete
  6. Show what yo mama gave you girl!!!!! Looking good!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...