Balozi wa African Union Nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali alonga na Vijimambo, azungumuzia historia yake, uzoefu wake wa kazi na nyazifa mbalimbali alizoshika katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muungano, pia aelezea ni kwanini AU waliamua kufungua Ofisi ya Ubalozi Marekani wakati kuna Waheshimiwa Mabalozi mbalimbali wa Afrika wanaoakilisha Nchi zao, nini tofauti ya kazi zao. MSKILIZE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mwanamke shuja mwanamke mwerevu ndo tunahitaji wanawake kama hawa katika taifa letu siiyo wanawake mchakato wa wema sepetu na aunty ezekiel

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...