Balozi wa African Union Nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali alonga na Vijimambo, azungumuzia historia yake, uzoefu wake wa kazi na nyazifa mbalimbali alizoshika katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Muungano, pia aelezea ni kwanini AU waliamua kufungua Ofisi ya Ubalozi Marekani wakati kuna Waheshimiwa Mabalozi mbalimbali wa Afrika wanaoakilisha Nchi zao, nini tofauti ya kazi zao. MSKILIZE
visit my blog at http://lukemusicfactory. blogspot.com/


mwanamke shuja mwanamke mwerevu ndo tunahitaji wanawake kama hawa katika taifa letu siiyo wanawake mchakato wa wema sepetu na aunty ezekiel
ReplyDelete