Kwa mara ya kwanza East African Artists Mr. Bushoke live in Oslo Norway Friday-12-oct-2012 
akiwa ameongozana na wasanii 2 wakali mno toka Uganda Kenzo & Vampino 
Onyesho hili litafanyika ndani ya ukumbi wa Club Millenium Skippers gata 9 Gamle Banken Oslo Norway
 Wahi ticket booking 170 nok, na mlangoni ni 200 nok, show itafunguliwa kuanzia saa mbili usiku mpaka 
majogoo. Dj Pred & Dj Humphrey watarusha mahabiki wao vikali ndani ya nyumba na Bongo Flavaz.
             Contact:-  +47 96872483  
Dj Pred a.k.a Abdul Mpily or Dj Humphrey...
                                           Karibuni sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...