Home
Unlabelled
duuhh....!! Huyu Jamaa ni balaaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa hao wanatazama tu! si wamnunulie hata constumes! au anatumbuiza mafisadi tu! Yaani sera ya nyerere ya kukomesha wanyonyaji haitekelezwi kabisa hapo kama huyu jamaa halipwi pesa ya kumtosha ananyonywa ujuzi wake, muda wake, nguvu zake. Yaani ni kunyonyana tu. Nyonya! nyonya! nyonya ! aaaaa
ReplyDeletehuyu alaaniwe na aendelee kulegea kwa jina la yesu. Ameshalegea na aendelee kulegea.
ReplyDeleteWe anonymous wa Friday. Oct 26, 02:28:00 Una matatizo ya akili, Yesu alikuwa halaani, na uache kulitumia vibaya jina la Bwana wetu.
ReplyDeleteHuyu kijana anastahili ujira kazi yake ni kuburudisha ni msanii. Kumtumia bila kumpa haki yake ni dhambi.
Huyo mwenye comments za kutumia jina la Yesu, wewe ndio ulaaniwe, huna akili wala kisomo, hujui maana ya sanaa ni nini. Nenda shule kwanza uelimishwe. Huyo jamaa angekuwa ulaya angekuwa Tajiri sasa. Hiyo ni Gymnastic hata hajafundishwa anakua mzuri namna hiyo. Imagine akipata professional wa kumfundisha atakuwaje!! Hongera sana kijana.
ReplyDelete