Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sasa hao wanatazama tu! si wamnunulie hata constumes! au anatumbuiza mafisadi tu! Yaani sera ya nyerere ya kukomesha wanyonyaji haitekelezwi kabisa hapo kama huyu jamaa halipwi pesa ya kumtosha ananyonywa ujuzi wake, muda wake, nguvu zake. Yaani ni kunyonyana tu. Nyonya! nyonya! nyonya ! aaaaa

    ReplyDelete
  2. huyu alaaniwe na aendelee kulegea kwa jina la yesu. Ameshalegea na aendelee kulegea.

    ReplyDelete
  3. We anonymous wa Friday. Oct 26, 02:28:00 Una matatizo ya akili, Yesu alikuwa halaani, na uache kulitumia vibaya jina la Bwana wetu.
    Huyu kijana anastahili ujira kazi yake ni kuburudisha ni msanii. Kumtumia bila kumpa haki yake ni dhambi.

    ReplyDelete
  4. Huyo mwenye comments za kutumia jina la Yesu, wewe ndio ulaaniwe, huna akili wala kisomo, hujui maana ya sanaa ni nini. Nenda shule kwanza uelimishwe. Huyo jamaa angekuwa ulaya angekuwa Tajiri sasa. Hiyo ni Gymnastic hata hajafundishwa anakua mzuri namna hiyo. Imagine akipata professional wa kumfundisha atakuwaje!! Hongera sana kijana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...