Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki akiwakaribisha wageni mbali mbali katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Wizaza yake washiriki wa Kongamano la Kwanza la Afrika kuhusu Usimamizi wa Utalii Endelevu katika Hifadhi za Taifa iliyofanyika katika hoteli ya Kibo Palece,Jijini Arusha na kuwashirikisha wadau wa utalii pamoja na mawaziri kutoka nchi 13 Barani Afrika.
Baadhi ya Wageni walioshiriki wa Kongamano la Kwanza la Afrika kuhusu Usimamizi wa Utalii Endelevu katika Hifadhi za Taifa iliyofanyika katika hoteli ya Kibo Palece,Jijini Arusha,wakimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (hayupo pichani).
Kikundi cha Ngoma za Asili cha Jijini Arusha kikitumbuiza katika hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii.Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii,Arusha.


TUWE WANGALIFU NA JIRANI ZETU KWANI NI WANJANJA SANA WAMETUTUMIA SANA KWENYE SEKTA HII YA UTALII,
ReplyDeleteHIVI KWANINI HAKUNA SHIRIKA LOLOTE LA NDENGE HUKU ULAYA AMBALO HUTOA OFFERS PAMOJA NA HOTELI?
NAONA KWA MFANO AIRBERLIN UNALIPA EURO 500 TOKA UGERUMANI HADI MOMBASA PAMOJA NA HOTELI KWA WIKI MBILI
NA WENGI WA HAO HUJA TANZANIA KWA UTALII NA HULIPA PESA KWETU KIDOGO
SASA KWANINI NASI TUSIFANYE HVYO?