Mgeni rasmi ambaye ni Mratibu wa Tiba wa Manispaa ya Kinondoni, Sirila Mwanisi akizungumza katika maadhimisha ya Siku ya Kunawa mikono katika viwanja vya Posta, Kijitonyama, inayofanyika Oktoba 15, huku kwa wanafunzi hao wakiadhimisha jana katika viwanja hivyo.
Mwanafunzi wa shule ya Mwenge akimuonyesha mwalimu wake (aliyeshika jagi) namna alivyofundishwa kunawa mikono.
Mwanafunzi akiwathibitishia somo limeingia waalimu wake ambao wao walichukua jukumu la kuwamwagilia maji.


Kumbe ni kibiashara zaidi,nilikua nashangaa kunawa mikono?sawa ila kama kweli wanadhamiria kutoa elimu ya afya kwa watoto wa shule nadhani njia bora na yenye nguvu ni kurudisha somo la sayansikimu mashuleni.
ReplyDelete