Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa maeneo ya katikati ya jiji la Dar Mchana wa leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Loh kuzuri sana.Kesho tunaomba na picha za 'pembeni' mwa jiji.Tafadhali

    David V

    ReplyDelete
  2. hahaha mdau kwanza david V nimependa maombi yako maana sio picha za vikwangua anga tu na katikati ya jiji tunataka na maozaoza ya pembeni mwa jiji pia kama uwanja wa fisi nk

    ReplyDelete
  3. Eheee we David D. wacha unafiki na uongo. Ongelea tatizo lionekanalo hapo, Traffic au kwa kibongo foleni ya kufa mtu. Au wewe huoni?! Sie wabongo tumeshakuwa wanafiki tunaona tunachotaka.

    ReplyDelete
  4. Jamani Mnyonge mnyongeni ila haki mpeni hii kona ya Dar ipo makini. Traffic jam zipo kote duniani la msingi tufanye liwezakanalo kuondoa tatizo na mengineyo tuliyonayo. Wewe mdau mlalamishi hapo kama unataka kupata mifano ya traffic jam za ukweli ebu fika miji kama Sao Paolo,Lagos nk.

    ReplyDelete
  5. Mji ni mzuri sana sema tunatakiwa tuweke pavement kwani vumbi ni jingi,na taa barabarani ziwekwe na ziwashwe ucku, Mungu kajalia tumepata gasi hivyo umeme nafuu.RAS

    ReplyDelete
  6. Hii ni kwa;
    Anonymous wa Wed Oct 31, 08:52:00 PM 2012: Jibu si kujifananisha na miji yenye matatizo zaidi bali kujifunza toka kwao ili kutatua tatizo letu la foleni au kuepuka kutokana na makosa wanayofanya. Kwanza inabidi tujue tatizo liko wapi, na ilo kwenye picha ni sawa na Tembo ndani ya chumba, alifichiki hata kama hatuliongelei.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...