Home
Unlabelled
katikati ya jiji la Dar Mchana wa leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Loh kuzuri sana.Kesho tunaomba na picha za 'pembeni' mwa jiji.Tafadhali
ReplyDeleteDavid V
hahaha mdau kwanza david V nimependa maombi yako maana sio picha za vikwangua anga tu na katikati ya jiji tunataka na maozaoza ya pembeni mwa jiji pia kama uwanja wa fisi nk
ReplyDeleteEheee we David D. wacha unafiki na uongo. Ongelea tatizo lionekanalo hapo, Traffic au kwa kibongo foleni ya kufa mtu. Au wewe huoni?! Sie wabongo tumeshakuwa wanafiki tunaona tunachotaka.
ReplyDeleteJamani Mnyonge mnyongeni ila haki mpeni hii kona ya Dar ipo makini. Traffic jam zipo kote duniani la msingi tufanye liwezakanalo kuondoa tatizo na mengineyo tuliyonayo. Wewe mdau mlalamishi hapo kama unataka kupata mifano ya traffic jam za ukweli ebu fika miji kama Sao Paolo,Lagos nk.
ReplyDeleteMji ni mzuri sana sema tunatakiwa tuweke pavement kwani vumbi ni jingi,na taa barabarani ziwekwe na ziwashwe ucku, Mungu kajalia tumepata gasi hivyo umeme nafuu.RAS
ReplyDeleteHii ni kwa;
ReplyDeleteAnonymous wa Wed Oct 31, 08:52:00 PM 2012: Jibu si kujifananisha na miji yenye matatizo zaidi bali kujifunza toka kwao ili kutatua tatizo letu la foleni au kuepuka kutokana na makosa wanayofanya. Kwanza inabidi tujue tatizo liko wapi, na ilo kwenye picha ni sawa na Tembo ndani ya chumba, alifichiki hata kama hatuliongelei.