Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Prof: Tolly Mbwette akionyesha moja ya kitabu kitakachozinduliwa kesho na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi,Kitabu kimoja kinazungumzia tathimini ya miaka 20 ya kupunguza Pengo la elimu Tanzania na nje ya Mipaka ya Tanzania, Kitabu cha pili kitakachozinduliwa Kinazungumzia Mapitio ya Jumla ya ubora wa Mfumo wa Uthibiti wa Maji ya chupa na Dhima katika sekta Binafsi katika Ugavi wa maji ya chupa Nchini Tanzania.Uzinduzi huo utafanyika majira ya saa Tatu asubuhi katika ukumbi wa Ali Hassani Mwinyi Chuoni Hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nina omba kujuwa vitabu wina vyo andikwa na waandisha wa Tanzania wina patikana wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...