Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Prof: Tolly Mbwette
akionyesha moja ya kitabu kitakachozinduliwa kesho na Rais Mstaafu wa
Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi,Kitabu kimoja kinazungumzia tathimini
ya miaka 20 ya kupunguza Pengo la elimu Tanzania na nje ya Mipaka ya
Tanzania, Kitabu cha pili kitakachozinduliwa Kinazungumzia Mapitio ya
Jumla ya ubora wa Mfumo wa Uthibiti wa Maji ya chupa na Dhima katika
sekta Binafsi katika Ugavi wa maji ya chupa Nchini Tanzania.Uzinduzi
huo utafanyika majira ya saa Tatu asubuhi katika ukumbi wa Ali Hassani
Mwinyi Chuoni Hapo.
Home
Unlabelled
Kitabu kinachozungumzia tathimini ya miaka 20 ya kupunguza Pengo la elimu Tanzania na nje ya Mipaka ya Tanzania kuzinduliwa jijini dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Nina omba kujuwa vitabu wina vyo andikwa na waandisha wa Tanzania wina patikana wapi?
ReplyDelete