Mshiriki namba 4,kutoka Manyara - Kanda ya Kaskazini,Lucy Stephano ndie alieweza kuibuka kinara wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Photo Genic 2012.
Warembo walioingi kwenye hatua ya tano Bora ya Redd's Miss Photo Genic.toka kulia ni Magdalena Roy (Mshiriki namba 6,kutoka Dar City Center - Kanda ya Ilala),Babylove Kalala (Mshiriki namba 9,kutoka Kagera - Kanda ya Ziwa),Lightness Michael (Mshiriki namba 5,kutoka Dodoma - Kanda ya Kati),Lucy Stephano (Mshiriki namba 4,kutoka Manyara - Kanda ya Kaskazini) na Diana Hussein (Mshiriki namba 20,kutoka Dar Indian Ocean - Kanda ya Kinondoni.).
Mkurugenzi wa Kampuni ya Rino Agency na Muandaani Mkuu wa Mashindano ya Miss Tanzanzia,Hashim Lundega akitangaza Mshindi wa Redd's Miss Photo Genic ambaye ni Mshiriki kutoka Manyara - Kanda ya Kaskazini,Lucy Stephano (katikati).hafla ya shindano hilo ilifanyika jana usiku kwenye Ukumbi wa hoteli ya E'Manyata Lodge,Monduli jijini Arusha.

kwa habari kamili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. yakiisha mashindano mdogo wangu mtembelee dentist atoe hilo jino lililozidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...