Mdau wa Globu ya Jamii,Diana Byonge (kulia) akiwa katika pozz na rafiki yake mara baada ya kukabidhiwa nondozz zao katika maswala ya Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hivi karibuni.
Mdau Diana Byonge (pili kulia) akiwa na Wahitimu Wenzake.
Mdau wa Diana Byonge akiwa katika pozi na tabasamu la hali ya juu baada ya kupata NONDOZZ yake ya Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mdau Diana Byonge akiwa na kaka yake mpendwa Girman Byonge wakati wa hafla fupi ya kumpongeza bada ya kulamba NONDOZZ yake ya Ecomics katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Sasa hivi msimu wa kuvaa majoho!.kuanzia chekechea hadi vyuo vikuu.Ni vurugu tupu.Hongereni wote mliohitimu
ReplyDeleteDavid V