Bw. Ame Khamis Ame (38) mkazi wa Shehia ya Mangapwani Mdodoni, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana.
Bw. Mbaruku Muhamad Mbaruku (65), mkazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana.
Bi. Khadija Abas Haji (49), mkazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja akitoa maoni yake Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana.
Wakazi wa Shehia ya Bumbwini Misufini, Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia mkutano wa kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilipofanya mkutano wa kukusanya maoni jana.(Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...