Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,Flora Lazari Zelothe (katikati) alieshinda nafasi hiyo hivi karibuni baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa Umoja huo.Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa.
Home
Unlabelled
Mh. Lowassa ampongeza Mwenyekiti Mpya wa UWT mkoa wa Arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Songa Mbele Mh.Lowassa. Songa Mbele Tanzania.
ReplyDelete