BRIGITTE ALFRED ni Mshiriki namba 26 akitokea Kitongoji cha Sinza na anawakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 
DIANA HUSSEIN amepata namba ya ushirtiki 20, akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
JOYCE BALUHI anatoka Morogoroakiwa ni mshiriki 13 anawakilisha Kanda ya Mashariki.
MAGDALENA ROY mshiriki namba 6, kutoka Kitongoji cha Dar City Centre akiwakilisha Kanda ya Ilala.
 
AU 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kigezo mojawapo ambacho ni muhimu kwanza kiwe jina la mshiriki! Hao wote wenye majina la kizungu, kama sio lao kweli, basi wawe diskwalifaid mara moja!!! "Alfred","Roy", "Raphael", "Elias", "Revocatus", "Sylvester", "Diamond", "Daniel", "Michael", "Stephano", "Lucas", "Edward", "Frank", n.k.

    Miss Tanzania awe na jina la kiTanzania kweli!!! "Kalala", "Masumbigana", "Hussein", "Mbogo", "Ramadhan", "Maeda", "Rweyemamu", "Haule", "Baluhi", "Chizi", "Nasib", n.k.

    ReplyDelete
  2. Nani kakwambia majina kama Hussein na Ramadhani asili yake ni Tanzania. Asili ya majina hayo ni UARABUNI

    ReplyDelete
  3. kipilipili kushneii bongo

    zile nyele za msuko wa matembele na matuta tutazimiss sana wabantu sikuhizi tuna nywele za kibrazil na kihindi tu

    urembo wa kiafrica kwishnei.

    ReplyDelete
  4. KUTAFUTA ASILI YA MAJINA ITAKUWA KAZI KWELI KWELI MAANA KUNA HUSEIN MATANZANIA, MKENYA, MSOMALI, MUARABU N.K. SPELLING ZITAKUWA TOFAUTI. NA KUNA MKANDAWIRE MTANZANIA, MZAMBIA, KARIUKI MTANZANIA/MKENYA; LENANA MTANZANIA/MKENYA ODINGA MKENYA/MGANDA/MTANZANIA/MSOUTH SUDAN
    MBONA HILI HALINA MWISHO? TUANGALIE VIGEZO, NATURAL BEAUTY, HAKUNA MKOROGO; NYWELE ZIWE NATURAL SIO EXTENSIONS N.K MAJINA TUWAACHIE HISTORIANS

    ReplyDelete
  5. Hayo manywele!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Hata lunga ya kiswahili imeundwa na lugha ya kiarabu au na kiswahili si cha tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...