Familia ya bwana na bibi peter Kibuda shija wa kimara suka Dar es Salaam wanapenda kutoa shukrani kwa wote walioshiriki ktk msiba wa mtoto wao mpendwa Charles Peter Shija kilichotokea tarehe 30/05/2012 na kuzikwa katika makaburi ya kinondoni tarehe 02/06/2012.
Shughuli za kumaliza msiba huo zitafanyika nyumbani kwao kimara suka kwa mkesha siku ya ijumaa tarehe 12/10/2012 Kuanzia saa 12 jioni na ibada ya misa takatifu itafanyika tarehe 13/10/2012 saa 1 asubuhi nyumbani na kisha kuelekea makaburini kinondoni.



As you comprehend this profound loss, let grateful memories linger on in time of sorrow. My condolences to you and your wife.
ReplyDeleteMungu azidi kuwatia nguvu kwenye kipindi hiki cha majonzi makubwa.
ReplyDeleteR.I.P cousin.From, H.R.Liganga