Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Viongozi wengine wakijumuika na waislamu na wananchi katika swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo
Baadhi ya Waislamu wakisikiliza Hotba,baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Soraga,katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na waumini ya Dini ya Kiislamu baada ya kuswali swala ya EID el Hajj katika Msikiti wa Mwembeshauri Mjini Zanzibar Leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu Zanzibar





Swala ni Popote !
ReplyDeleteJe, na Sheikh Farid na watu wake walioko ndani (Kwa Zanzibar ni Chuo cha Mafunzo/ Kizuizini) wamepewa muda wa Kuswali Idd huko Lupango?