Viwanja vya ufukweni beach vinauzwa, zipo heka 3 Gezaulole karibu na Bamba beach ml.450,Zipo heka 10 karibu na kiwanda cha Cement Kimbiji Kigamboni ml. 200.Pia kuna shamba heka 100 Buyuni-Kigamboni ml.700.Heka 4 karibu na dar es salaam zoo sh ml.35.Viwanja vyote vina hati.Pia kuna viwanja vya ml.7 na 8 pamoja na mil.10.

Kwa mawasiliano piga simu no. 0652-020343. 
wekeza kwenye ardhi kwa maisha bora.
Asante.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mdau wa MaguOctober 17, 2012

    hahahaha
    Viwanja kigamboni? Umeshakula fidia yako unavuta mkwanja kimyakimya.

    ReplyDelete
  2. Ankal mbona posti zangu huziweki? kulikoni?

    ReplyDelete
  3. Jihadharini na viwanja vilivo ndani ya mradi ohoooo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...