Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akizungumza na Wahariri Watendajio wa vyombo vya habari nchini (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya utaratibu aliojiwekea wa kukutana nao kupitua Jukwaa la Wahahriri kubadilishana uzoefu juu ya shughuli za Vodacom hapa nchini.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absalom Kibanda akiongea katika mkutano wa pamoja kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa  kampuni ya Vodacom Tanzania Rene Meza na wahariri Watendaji wa Vyombo vya Habari nchini uliofanyika leo jijini Dar es salaam. Kupitia Mkutano huo Rene (kushoto) aliwaelezea wahariri hao uwekezaji wa Vodacom katika huduma za mawasiliano na maendeleo ya jamii kwa mwaka wa fedha 2012/2013.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...