Viwanja vya ufukweni beach vinauzwa, zipo heka 3 Gezaulole karibu na Bamba beach ml.450,Zipo heka 10 karibu na kiwanda cha Cement Kimbiji Kigamboni ml. 200.Pia kuna shamba heka 100 Buyuni-Kigamboni ml.700.Heka 4 karibu na dar es salaam zoo sh ml.35.Viwanja vyote vina hati.Pia kuna viwanja vya ml.7 na 8 pamoja na mil.10.
Kwa mawasiliano piga simu no. 0652-020343.
wekeza kwenye ardhi kwa maisha bora.
Asante.


hahahaha
ReplyDeleteViwanja kigamboni? Umeshakula fidia yako unavuta mkwanja kimyakimya.
Ankal mbona posti zangu huziweki? kulikoni?
ReplyDeleteJihadharini na viwanja vilivo ndani ya mradi ohoooo!
ReplyDelete