FAMILIA YA MAREHEMU MCHUNGAJI MWAKIPUNDA WA NGAMANGA IPINDA KYELA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHAMZEE NSUBISI SAMUEL MWAKIPUNDA ( MKURUGENZI WA ZAMANI WA IDARA YA MAELEZO) KILICHOTOKEA SIKU YA JUMATANO TAREHE 24/10/2012.
MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU PUGU KINYEMWEZI DAR ES SALAAM.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI POPOTE PALE WALIPO.
KWA MAWASILIANO ZAIDI
“BWANA AMETOA BWANA, AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE”
AMEN




Sijukua Nsubisi Mwakipunda alifariki. Tuliwahi kufanya kazi pamoja. Mungu ailaze rohe yake mahali pema peponi.
ReplyDeleteMichuzi, ningependa sana ku kopi picha yake. Nimejaribu bila mafanikio. Unaweza kuondoa block kwenye ukurasa huu ili ni kopi picha hiyo? Nilifanikiwa ku kopi picha ya Juma Penza uliyoiweka kwenye blogu yako.